Psalms 20:4-5

4 aNa akujalie haja ya moyo wako,
na aifanikishe mipango yako yote.
5 bTutashangilia kwa furaha utakaposhinda,
tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu.
Bwana na akupe haja zako zote.
Copyright information for SwhNEN